Monday, 8 May 2017

Kenyans' reactions to Julius "Yellow" AKA Khaligraph Jones bleaching

"Mkimaliza kuyap juu ya izo bleaching allegations, sana sana Nyinyi Rappers, murudi kwa Kiwanja Muendelee kupata ile Kichapo mmezoea kupewa na the OG.
 
Kwani mara yangu ya kwanza Kuvaa Blazer mlikua mnataka nikae na sura imeparara kwa National TV, next interview Mtaona msee wa green apo mfikirie ni hulk,

Official East Africa Belaire ambassador
 
Redbull kenya Ambassador


Coke Studio 2017, etc etc, mazishi ni ile ile"


#respektheOgs,