Friday, 22 September 2017

Guardian Angel Unleashes New Single Nadeka

Kenya's Gospel Sensation Guardian Angel has a new video out. Titled "Nadeka".
‘Guardian Angel’ real name Audiphaxad Peter is a leading Gospel dance hall reggae/afro pop artiste, Songwriter and Instrumentalist from Kenya- East-Africa.

He plays both the guitar and piano. Born in 1989, he has released several chart topping songs that have placed him among major household names on the gospel scene in Kenya.

Some of his popular songs include Amazing Grace, Usikonde, Liwe Liwe and Pendo.
NADEKA LYRICS
CHORUS

Mungu wangu anapenda maskini na tajiri ana penda penda ndio maana mi na deka Niko mikononi mwake Kila kitu Kiko better
Mungu wangu anapenda maskini na tajiri ana penda penda ndio maana mi na deka Niko mikononi mwake Kila kitu Kiko better
VERSE 1

Ibilisi ananyeta Kuna watu wakicheki unabarikiwa Sana wanateta anazidi kuleta mvua ya baraka na ma better Inazidi kunyesha
Ibilisi ananyeta Kuna watu wakicheki unabarikiwa Sana wanateta anazidi kuleta mvua ya baraka na ma better Inazidi kunyesha
Aisifuye mvua imemnyea, namsifu juu amenitendea Maajabu Maajabu Ata wewe ukimkujia najua atakutendea maajabu Maajabu
Kuna wenye dhambi wengine takatifu jua likiwaka linawawakia wote wengine janja janja wengine waaminifu mvua ikinyesha inawanyeshea wote
Kuna wenye dhambi wengine takatifu jua likiwaka linawawakia wote wengine janja janja wengine waaminifu mvua ikinyesha inawanyeshea wote

CHORUS

VERSE 2

Mungu wangu anapenda penda penda na sa ndio maana mi na deka deka deka Mungu wangu anapenda deka penda deka ananipenda na deka.
Mungu wangu anapenda penda penda na sa ndio maana mi na deka deka deka Mungu wangu anapenda deka penda deka ananipenda na deka.

BRIDGE
Ukimuita anacome through ndio maana namsifu maombi anajibu Kuna wenye dhambi wengine takatifu jua likiwaka linawawakia wote wengine janja janja wengine waaminifu mvua ikinyesha inawanyeshea wote.
Kuna we dhambi wengine takatifu jua likiwaka linawawakia wote wengine janja janja wengine waaminifu mvua ikinyesha inawanyeshea wote.

No comments:

Post a Comment