So, the dude who got everyones panties and boxers in a twist because of dissing Octoppizo has released his track titled Praise The Vod.
Cabu Gah posted the track on YouTube on January 8 together with the complete Lyrics.
Here, you be the judge...
Niko na Lines nawapunch ka Mohammed Ali/ Mi hupokea maTrophy,cash na
Medali/ Mi huflow ka river, high Khalifa,mi ndio Babu hata Swale Mdoe
hukujia Maarifa/Kwa hii game mtu wangu niko locked ka keyhole/ Kumaliza
mafala bila Mercy ka kifo....Ka unadai beef welcome,nilifungua
slaughter/ Nikuchinje nikuuze ofcourse siwezi sota/ So wise
Confucious,huwezi nifool/ Mnajazana kwa Gospel ka Watoi kwa pool..../
H.D
inamaanishaje,I guess He's Drunk/ Mnafool Waumimi lakini mnasmile to
the bank/ Gospel kitu gani ,na bado mnarape/ Mmeconform to the
World,kila trend mnaApe/ P Square Wannabes,hata nguo mnacopy/ Lifestyle
ni drama tu ,Opera,so soapy/ Mnafaa ku-go out to the lost sinners kuwa
reach/ But zenu ni kumake big album sales kuwa RICH / Kwa show mnacharge
hata kuliko MaSecular/ Life yenu inafaa kuwa straight,how Come iko
Circular???
Msela aliwacha kulia ju aliget mullah/ Msifikirie
hatuwajui ,tumewapima ka ruler/ Mnaendelea kuchezea mind ya Wakristo ka
Kandanda/ Na madame wakivaa ,hata hawawezi dress ka Dada/ ka we ni
Gospel singer,stick to the WORD/ But Ofcourse mshaashindwa,mnastick to
the WORLD/ Mchana Asifiwe,Usiku ni Matei,Mchana hamnunuliki,Usiku
mnashusha bei/
Mnafaa ku-Advertise Yesu kwa pulpit na Altar/
Lakini Doh inafanya mu-Advertise Guiness Malta/ MrS. UNIVERSE pia
mnakimbilia ma title/ Mnafaa kuwa Mwangaza lakini Mshaaput the Light
off/
Isipokuwa ni Doh,mngekuwa mshaabackslide/ Moonwalkers,MA M.J
,Mngebackslide/ ka wabunge na masalo,roho zenu greedy/ Mnatour high
schools ku-flirt na Washee/ Kuexchange ma contacts na akina Ashley/ Ka
si pesa au biashara,Gospel kando/ Mnastep kwa pulpit na mmejaa scandal/
Si vibaya ku-make doh,msinimisquote,/ Maybe nimekosea Maneno,nimemiss
quote/
Lakini Injili hamfai ku-commercialize,kubring souls kwa
Kingdom ndio Specialize/ Mi hubonga ukweli jamaa,siwezi hide/ Na ka hii
ngoma itakuwa hit ,siwezi mind/
Mtake msitake mtaniskiza tu/ Niko
right in your ears ka skiza tune/ So at the top,so fly ka Bendera/ Bad
as I wanna be,kushinda hata Stella/ Niko so fresh kushinda Marivals wa
PK/ KuMurder line Kwenye Beat ,who the F is D.K?/ wanadhani Heaven's
Gate Imelindwa na Jimmy/ Kuingia Kingdom ni Heart si Gift ya Ulimi/
Unatry
ku-clean Airwaves na heart yako ni dirty/ Drunkard *CENSORED* ,a.k.a
mihadarati/ Wengine sijui ni Ego,nominations mnaturn down/ Na feel ka
Rihanna ningewashika ningewaMANDOWN/ Mbona Lifestyle ya Club kwa Church
Mr.Kanjii/ Kuna Maufala zingine mnaduu mi sitakangi/
Mafala
wengine I guess nafaa kuwapiga maKOFI YO/ Mi ndio Master, NO PEACE,
Huskii siwaogopi Yo/ Zenu tu ni MaGlory na kushinda Groove Award/ Con
Men,mshaajua hata ku-manouvre Word/
No Wonder KITUTU MASALA
walikukataa/ Watachaguaje Poko,No Way KATAA/ Nitageuza Jubilation ikuwe
Tribulation/ Loser Tribal King wa Stealing Nation/
Mnatembea kwa
giza na mnajiita Lampstand/ Ironical,vitu zingine siezi Understand/
Mnajimix ka vidole za Krowbar/ Watoi Utoi ,I guess mnafaa mgrow bana/
*CENSORED*/ I miss the good,old days ya F.G.C.K/
Fame na
doh,zinafanya msahau kuMinister/ Mtahubiriaje Sinners na mentality ya Mi
ni Star/ Ka Mdomo ya Mwende,mipango yao Kando/ Inafaa God awa renew
data bundle/ Wanajaa kwa show zangu ka Walevi kwa Urinal/ Na hii mara
yangu ya last,kudeal na nyinyi FINAL! /
Ati Wanadai bado Wanasonga,HEY ZIIII, HAWASONGI, WanaCHONGA!!
No comments:
Post a Comment